YOUTH DREAMS CENTRE
KATIKA JAMII TUNA KAZI KUBWA SANA YA KUFANYA
tuna amini kwamba serikali ipo macho kuhakikisha jamii yote bila kubagua rangi, kabila, wala mila na desturi kwamba wote wapate haki sawa katika kuwapa
(a) ajira
(b)huduma za afya
(c ) elimu
na huduma nyingine za msingi, ikiwa nia ni kufanya nchi iwe na jamii isiyo tegemezi kwaajili ya kuokoa kiasi cha fedha ambazo zingeenda kuwasaidia watu tegemezi badala yake kufanya kazi nyingine za kimaendeleo.
tuna vijana wengi sana ambao wapo mitaani wakiwa hawana ajira, na waliowengi sasa wanajihusisha na vitendo mbali mbali kama vile
(a) ubakaji
(b) ukabaji
(c ) makundi rika mabaya
(d) matumizi ya dawa za kulevya nk.
vitendo hivyo vinaigharimu serikali kwa kiasi kikubwa sana, serikali inatumia nguvu nyingi kudhibiti lakini kila kukicha makundi kama hayo yanazaliwa. KWANINI HAYA YOTE YANATOKEA,
kwasababu ya AJIRA. vijana wengi hawana kazi ya kufanya , hawana ubunifu , hawana ajira binafsi zitakazo wafanya angalau kujitegemea na kuleta maendeleo binafsi na jamii kwa ujumla.
SURUHISHO
Vijana hawa wanatakiwa kupata elimu ya ujuzi na y=ubunifu kama vule
COMPUTER ( wajifunze program zote za msingi, word, excel , publisher, power point , internet , email, access, data base , window making na program mbalimbali za adobe.)
UJASILIAMALI ( wajifunze mapishi ya keki, ususi, mapambo, ufugaji kuku nk, ufundi wa redio,simu, amplifaya, sabufa, umeme wa majumbani, kacha za shanga, ushonaji, kutengeneza sabuni za mche, magadi, za unga na za maji.
hii itawafungua
Comments
Post a Comment