Posts

PENDO NA MAHUSIANO

 

WEZESHA PROGRAM

 Hii ni program ambayo inalenga kuwawezesha vijana katika kuwafanya wawe na uwezo wa kukabiliana na changamoto ya ajira katika jamii. Program hii inafundisha mambo yafuatayo 1.Ususi , Mapambo, ushonaji na mapishi ya keki  2. Ubunifu was kutengeneza bidhaa mbali mbali Kama viatu na vipochi, Mafuta ya mgando, sabuni aina zote na rosheni 3. Computer program zote pamoja na ufundi wa computer.

WOMENN VIOLENCE

  We stand fighting about SEXUALABUSE, vigorously to youth women since they have dreams and should be completed . most of violence areas are as follow 1. schools and universities 2. offices where these women youth are employed  3. business centers  4. different groups that collects most youth

YOUTH DREAMS CENTRE

  KATIKA JAMII TUNA KAZI KUBWA SANA YA KUFANYA  tuna amini kwamba serikali ipo macho kuhakikisha jamii yote bila kubagua rangi, kabila, wala mila na desturi kwamba wote wapate haki sawa katika kuwapa  ( a) ajira  (b)huduma za afya  (c ) elimu  na huduma nyingine za msingi, ikiwa nia ni kufanya nchi iwe na jamii isiyo tegemezi kwaajili ya kuokoa kiasi cha fedha ambazo zingeenda kuwasaidia watu tegemezi badala yake kufanya kazi nyingine za kimaendeleo. tuna vijana wengi sana ambao wapo mitaani wakiwa hawana ajira, na waliowengi sasa wanajihusisha na vitendo mbali mbali kama vile  (a) ubakaji (b) ukabaji (c ) makundi rika mabaya  (d) matumizi ya dawa za kulevya nk. vitendo hivyo vinaigharimu serikali kwa kiasi kikubwa sana, serikali inatumia nguvu nyingi kudhibiti lakini kila kukicha makundi kama hayo yanazaliwa. KWANINI HAYA YOTE YANATOKEA,  kwasababu ya AJIRA. vijana wengi hawana kazi ya kufanya , hawana ubunifu , hawana ajira binafsi zitakazo wafanya angalau kujitegemea na kuleta maend

Youth Dreams Centre

Image
YOUTH DREAMS STUDENTS   

NAFASI ZA MASOMO CHUO

 youth deams inakaribisha usajili mpya wa masomo msimu wa masomo 2022/2023 kwa fani zifuatazo LONG COURSE 1.Early childhood education  2.Secretarial  3.Information and Communication Technology 4.Basic electronics (ufundi simu,redio,sabufa,amplifaya nk) 5.Ellectrical installation  SHORT COURSES 1.Entrepreneurship (batiki,sabuni za mche,za maji na za unga, keki, mapambo,ususi, nk) 2.Computer all programs   3.Computer programs and designing (adobe, video production photo shooting)